kwamamaza 7

Orodha ya mastaa 10 ambao ni mashabiki wa timu ya Rayon Sports nchini Rwanda

0

Inajulikana waziwazi kwamba Timu ya Rayon Sports ndiyo ambayo ina mashabiki wengi nchini Rwanda.Baadhi ya hawa mashabiki ni mastaa mbalimbali wa muziki nchini humu.

  1. Senderi International Hit

Huyu msaani huonekana katika tamasha nyingi zake akivaa nguo zenye rangi ya timu ya Rayon Sports.Pia alitunga wimbo kwa jina la ‘Abareyo’ yaani mashabiki wa Rayon.

  1. Jay Polly

Huyu msaani wa Hip Hop alitangaza kwamba anazipenda timu mbili nchini Rwanda kiwemo Rayon Sports.

[xyz-ihs snippet=”google”

3.Amag The Black

Huyu msaani wa Hip Hop alitangaza kuwa anaipenda Rayon Sports hata kama imeshindwa.Alisema” Timu hii tunaipenda hata kama imeshindwa.Ni timu ya Wanyarwanda”.

  1. Queen Cha

Msaani wa kike ambaye anaipenda sana Rayon Sports. Kupitia ukuta wake wa Instagram jana aliandika”Thank you my team” yaani asante timu yangu kwa kuipongeza Rayon ilipofuzu 1/8 katika michezo ya CAF Confederation Cup baada ya kuinyuka Costa de Sol 3-2.

[xyz-ihs snippet=”google”]

  1. Riderman

Huyu msaani wa HIP Hop alitangaza kuwa anaipenda Rayon Sports pamoja na Barcelona nchini Uhispania.

  1. Odda Paccy

Huyu muimbaji wa kike alitangaza kuwa ni mshabiki wa Rayon Sports

  1. Bruce Melody

Hata Kama hajatangaza hadharani kuwa anaipenda Rayon Sports huyu rapper anaonekana mala nyingi akitazama mechi mbalimbali za Rayon Sports.

[xyz-ihs snippet=”google”]

  1. Rafiki Mazimapaka maarufu kama Coga

Huyu muimbaji wa mtindo wa Choga alipokuwa katika mashindano ya PGGSS 5 alisema kwamba anaipenda timu ya Rayon Sports nchini Rwanda.

9.Lil G

Huyu msani alisema alitangaza ni mfuasi wa Rayon Sports.Alisema” Naipenda Rayon Sports ya kusini”

10.Safi Madiba

Huyu msaani mala nyingi anaonyesha anavyopenda Rayon Sports kupitia ukuta wake wa Instagram kwa akitazama mechi za hii timu na mapicha mengine akiwa na kochi mkuu wa Rayon Sports,Iva Minaert.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.