HABARI MPYA

Uganda:Orodha yenye majina ya wakimbizi asili ya Rwanda waliokamatwa yatiwa hadharani

Orodha yenye majina ya wakimbizi 40 asili ya Rwanda waliokamatwa kwenye boda ya Uganda na Tanzania,Kikagati yamejulikana.

Orodha hii kama inavyonekana kwenye chombo cha habari cha Virunga post.Mwengi mwa hawa majina yao yanaonekana kuwa ya wanaume.

Wakimbiz hawa walikamatwa ila lengo la safari yao ilizusha mkanganyiko kutokana na kuwa vyombo vya habari viwili nchini Uganda yaani Soft Power na Virunga Post vilitangaza habari tofauti.

Yafuatayo ni majina yao kama inayonekana kwenye orodha hii:

Taarifa za Soft power zilikuwa zikesema kwamba hawa walikuwa wakristo waliokuwa wakielekea nchini Burundi kwenye shughuli zao kinyume na zile za Virunga Post zilizosema kuwa hawa walikuwa ni vijana waliosajiriwa na chama cha upinzani kwa serikali ya Rwanda,RNC ili kuhudhuria mafunzo ya kijeshi nchini DR Congo.

Baada ya hili yeyote anaweza kujiuliza namna gani vyombo vya habari hivi viwili vilitangaza haya hasa virunga post ikiandika kwa kukosoa chombo cha habari cha soft power kama inavyonekana kwenye taarifa hizi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top