HABARI

Nyamasheke:Hospitali ya Bushenge yajikuta katika hasara

Hospitali ya Bushenge imejikuta katika hasara baada ya mashine tano zilizokuwa zikisafisha maji machafu ili kutumiwa tena kuharibika.

Moja mwa mashine zilizoharibika

Kiongozi kwa wajibu wa afya na mazingira kwenye hospitali ya Bushenge,Noella Benemariya amehoji kwamba kisa hiki kimesababisha hasara kwa kuwa wamelazimika kuchimba shimo kadhalika na kuwa hawana budi kununua 18m3  za maji kila siku.

Mkurugenzi wa hospitali hii,Dkt Vedaste Nkurunziza amethibitisha kwamba hili ni kizingiti mno kwa hospitali hii.

Akizungumza na viombo vya habari,karibu hali wa wizara ya maisha(MINISANTE) kwa wajibu wa afya kwa ujumla na uganga wa msingi,Dkt Patrick Ndimubanzi amefafanua kwamba wanatekeleza namna ya kukarabati mashine hizi.

Katibu hali kwa MINISANTE,Dkt Patrick Ndimubanzi

Pengine,hakuna mtu hata mmoja anayeweza kukarabati mshine hizi nchini Rwanda.

Mashine hizi zenye bei ya miliyoni frw30 zilikuwa zikisafisha maji kutoka vyooni,vyumba vya kuogelea na mahali kwingine ili kutumiwa mala nyingine.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top