kwamamaza 7

Nyabihu:Wawili ni wagonjwa mahututi baada ya kupigwa na majambazi wa usiku

0

Wakazi wa tarafa ya Bigogwe,Mutabazi na mwenzake wameleza walivyopigwa na kundi la majambazi  na kuwaiba fedha na rununu walipokuwa njiani wakielekea nyumbani siku ya juma tatu.

Kwa mjibu wa taarifa za sauti ya marekani,moja wathiriwa wakiwa zahanati ya Bigogwe wamesema kwamba majambazi hawa waliwapiga fimbo kichwani wakazilai kisha wakaiba fedha frw70,000  za Mutabazi na frw100,000 za mwenzake.

Kiongozi wa kujiji cha Bikingi kwa wajibu wa usalama,Amiel Murindangabo amefafanua kuwa kuna ujambazi wa hali ya juu ukiwemo kubomoa nyumba na kuiba nyaya za umeme.

Pia,daktari kwenye zahanati ya Bigogwe,Antoine Kanyamanza amethibitisha kwamba mala nyingi wanapokea waliopigwa na majambazi juma tatu na alhamisi usiku kwani ni hizi ni siku za kuuza ng’ombe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi mpito wa tarafa ya Bigogwe,Francoise Nyirakaronkano ameleza kwamba kunahitajika kutilia mkazo tatizo hili kwa ushilikiano na walinzi wa usalama husika  na kufanya juu chini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uongozi umeongeza kuwa kuna wakazi wakijiji hiki ambao hawana kazi baada ya kuwakomeshaa  kulima eneo la msitu wa Giswati lililokuwa likisaidia wengi kupata ajira.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kunaonekana maovu haya katika tarafa karibu na msitu wa Gishwati kama vile Rambura,Nyange,kanzenze katika wilaya ya Ngororero na kanama katika wilaya ya Rubavu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.