HABARI

Nyabihu: Familia yaficha siri kisa  cha mtoto aliyepachikwa mimba na mjomba wake

Familia inayoishi kiji cha Kabyaza, tarafa ya Mukamira magharibi mwa nchi walificha kisa cha mtoto kwa jina Uwineza aliyepachikwa mimba  na mjomba wake kwa jina la Emmanuel Manishimwe alipokuwa umri wa miaka 14.

Familia hii ilimkataza Uwineza kueleza kisa chake,mjomba wake aliahidi kumpa elfu tatu kila mwezi ila baada ya miezi michache akakoma baada ya kumkatalia kumpachika mimba yingine.

Taarifa hizi zimehakikishwana kiongozi wa kijiji cha Kabyaza,Faustin Kanyaburingo kwa kusema kuwa si huyu tu kwa kuwa watoto saba walipachikwa mimba wakiwa na umri mdogo.

Afisa wa kupambana na unyanyasaji kwenye  shilika la CLADHO,Evariste Murwanashyaka alisema kuwa msaada hauwezi kuzuia mhalifu kuadhibiwa na kuwa la kuanza ni kuwakamata wanaume hawa.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top