HABARI

Ngazi za usalama zimewashika watu wakiwa na silaha za kijeshi

Polisi ya Burundi imewaonyesha wazi watu ambao walikamatwa wakiwa katika zone ya Kanyosha na yawezekana walikua wapiganaji, kwani walikamatwa wakiwa na vifaa vya kijeshi kama watu ambao hujiandaa vita.

Moise NKURUNZIZA, musemaji makamu wa polisi ya Burundi amesema kua watu hao waliokamatwa walikua na silaha 3 za zaina ya kalachnikov, grunedi 9 na masasu zaidi ya 900.

Tarehe 3 Januari 2017 ndipo walitiwa nje na kuonekana, yawezekana wanahusika na vitendo vya uvamiaji na mauaji katika wilaya ya Kanyosha.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top