kwamamaza 7

Nduguye Rais Museveni Jen. Salim Saleh amkuta Jen. Kale Kayihura alipofungiwa

0

Nduye Rais Museveni Caleb Akandwanaho maarufu kama Salim Saleh amemkuta  Jen. Kale Kayihura alipofungiwa kwa wiki mbili Makindye mjini Kampala.

Kwa mjibu wa taarifa za Daily Monitor, Salim Saleh alimkuta jumanne wiki iliyopita hata kama haikutangazwa hadharani.

Hata hivyo, wanausalama wanasema kuwa Saleh alimuuliza Kayihura kuhusu madai ya kuwa anaunga mkono nchi jirani, utekaji nyara na mauaji ya kimbali alipokuwa Kiongozi wa Polisi nchini Uganda.

Ila hizi taarifa Dailymonitor haikuweza kuzihakikisha kutokana na kuwa wengi mwa wanausalama wamekataa kuongea kuhusu hili.

Wengine wamesema Kayihura amesema kwamba hawezi kuongea na wanajeshi wachanga.

Pia Jen. Kayihura alikataa kujibu kuhusu hili kupia simu ama kujibu ujibu.

Jen. Kale Kayihura alikamatwa tarehe 13 Juni kwake Kashagama, wilayani  Lyantonde.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.