DINI

Nashukuru sana papa Francis kwa mazungumzo muhimu-Rais Kagame

Rais Kagame kwenye sikukuu ya miaka 100 ya ukuhani nchini Rwanda,ameshukuru papa Francis kwa mazungumzo muhimu yaliyokuweko kati yao mjini Roma siku zilizopita.

Kwenye sherehe hii Rais Kagame ameshukuru mchango wa klezia katoliki kwa kujenga nchi na kueleza namna ambavyo haina budi kuungana mkono kati ya Klezia na serikali.

Tuliyaona mengi wakati wa miaka 100 iliyopita,inastahili kuwa fursa ya kuendelea kuungana mkono kwa kuwa tuna lengo sawa la kusaidia Wanyarwanda”amesema Rais Kagame.

Pia,Rais Kagame ameshukuru papa Francis kwa mazungumzo muhimu kwa kuwa ilikuwa bahati nzuri ya kuendelea kufanya kazi.

Haya ni baada ya Papa Francis kuomba msamaha kwa niaba ya klezia katoliki kwa uhalifu wake katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top