kwamamaza 7

Najua kwamba walijiazima nyumba yangu,siku moja itarejea mikononi mwangu-Tajiri Rujugiro Tribert

0

Tajiri Ayabatwa Tribert Rujugiro ameweka wazi kuwa anamini kumiliki tena nyumba yake ya kifahari kwa jina la UTC iliyonunuliwa kwa mnada frw 6,877,150,000 na kampuni ya Kigali Investment.

Akizungumza na BBC tarehe 30 Septemba 2017, Rujugiro amesema kwamba aliona alivyokuwa akitarajia kwa kuwa waliojiazima nyumba yake ndio pia walionunua nyumba yake kwa mnada.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tajiri Rujugiro alieleza kwamba yeye hana deni la ofisi kuu ya kodi(RRA) kwa kuwa alipondoka nchini mwaka 2009 alikuwa hana deni la kodi,kwa hiyo wanaostahili kulipa kodi ni wale ambao walijiazima nyumba yake wakati wa miaka minne bila kulipa kodi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa UTC kabla ya mnada wa UTC,Alexis Muhaya alitangazia BBC kwamba hakukuwa deni lolote la kodi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rujugiro amethibitisha kwamba hana wasiwasi  kwa kuwa anajua kwamba nyumba yake ya bei $miliyoni 20 itarejea mikononi mwake wakati fulani.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.