kwamamaza 7

Mwanaume yatengwa kwa ugonjwa wa maajabu alioupata

0

Mwanaume mchina aliyeupata ugonjwa wa maajabu alikwenda kwa waganga na waganguzi lakini hakumpata wa kumtibu ugonjwa wake unaofanana na magamba yaliyo usoni mwake.

Hapo mapema ugonjwa huo ulipojitokeza kulikuja magamba kwenye uso wake na ulipanuka siku hadi siku na mpaka sasa ulienea sura yote.

Kama anavyoeleza mume huyu aliupata ugonjwa baada ya kupata ajali ya baiskeli utotoni mwake ila wakati huu hali haikuwa bado mbaya

[xyz-ihs snippet=”google”]

Li Xitian aliachwa na kila mtu hana mtoto wala mke kwa sababu watu wote walimwogopa na hata wanafamilia wake wakamwacha kwa sababu ya ugonjwa huu, hivi sasa anaishi kwa upweke katika eneo la kusini mwa nchi hii.

Ugonjwa huu ulikwisha mgharimu elfu 110 za dola za kimarekani na watu wote hata na wanafamilia wake wamemtenga kwa hofu ya kuwaambukiza ugonjwa huo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.