Baada ya Mowzey Radio kufariki na kuacha pengo katika kundi la  Goodlyfe,aliyebaki Douglas Mayanja maarufu kama Weasel Manizo ameamua kujiunga na msaani wa mtindo wa Dance hall ambaye ni jinsia ya kike.

Taarifa aminifu zilizoifikia Ugblizz ni kwamba Weasel anatarajia kuendelea kazi ya muziki na msichana Sumi Crazy.

Weasel alieleza” Sumi Krazy ndiye tu anayeweza kuchukua nafasi ya Radio katika muziki wangu na moyoni mwangu,tutafanyia pamoja”.

Marafiki wa karibu wa Sumi wamefichua kuwa kuna wimbo mpya ambao wawili walitunga unaotarajika kuwa  hadharani hivi karibuni.

Wimbo  huu unaandaliwa na Nash Wonder ambaye alisidia mno kundi la Goodlyfe siku zilizopita.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Sumi alijulikana katika nyimbo kama vile  Mundayo na boomerang ambazo ziligonga mwamba kwenye Mtv Base,Trace Urban na nyingine.

Weasel Manizo aliahidi kuwa pamoja na Sumi  atakasahau Mowzey Radio.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.