kwamamaza 7

Mwamini na fedha zake

0

SEHEMU YA KWANZA

Wiki zilizopita, mtu mmoja alinisogelea na kuniambia “ Mimi ni  mukristo mpya, sijui Mungu anataka nifanye nini kuhusu fedha. Naweza je kulipa deni? Unaweza kufundisha kuhusu mada hii?

Huyu ni mmoja mwa watu walioniuliza kuhusu fedha. Kwa hiyo, nataka leo niwambie anachosema Mungu kuhusu fedha.

Fedha ni jambo linalozungumziwa mala nyingi katika vyombo vya habari. Tunasikia mfutuko, deni, upunguzi wa uchumi, hasara, kupoteza kazi. Hata leo, mikopo ya mabenki inazungumzwa.

Pia, Biblia inazungumza fedha na Yesu pia alizizungumza katika mafunzo yake. Bila kusita, nakubali kwamba fedha ni muhimu sana maishani mwako ya roho na kawaida.

Fedha ni kitu cha kupima misingi ya mema na mabaya. Fedha si nzuri na si mbaya. Nataka kuwaonyesha kanuni za msingi za fedha za wamini kupitia makundi manne yafuatayo:

– Haki ya kumiliki fedha

–  Sababu hauna fedhaImpamvu udatunze amafaranga

–  Namna ya kumiliki fedhaUburyo watunga amafaranga

–  Namna za kutumia fedha

1. Fedha zote ni za Mungu

 Hagai 2:8  “Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi.”

Mungu alikuwa akiwambia watu dunia nzima kwamba “ Fedha zao na dhahabu zao ni vyangu.” Ni kumaanisha haya yote ni ya Mungu

1. Mungu hutoa uwezo wa kutafuta fedha

Kumbukumbu la Torati 8:18 “Lakini kumbukeni Bwana Mungu wenu, ndiye ambaye huwapa uwezo wa kupata utajiri.”

Mambo ya Nyakati 29:12 “Utajiri na utukufu hutokana na wewe.”

1  Wacorintho 4:7 “Ni nani aliyewafanya kuwa tofauti na watu wengine wote? Mna kitu gani ambacho hamkupokea? Basi ikiwa mmepokea, mbona mnajivuna kana kwamba hayo mliyonayo si zawadi?”

Kwa ufupi, fedha ni za Mungu

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.