HABARI

Musanze:Walimu waitaka serikali kuwalipa fedha zao

Walimu 831 walioshiriki kwenye mambo ya kufanya mtihani ya taifa mwaka 2017 wameitaka serikali kuwalipa fedha za kazi yao.

Mmoja wao asiyetaka jina lake kujulikana amesema kuwa hawakupata fedha zao kwenye mwisho wa mitihani kama kawaida na kuwa viongozi wanawambia kusubiri.

Afisa kwawajibu wa elimu wa wilaya ya Musanze,Desire Munyemana fedha za walimu hawa zilitumwa kwenye kaunti za shule na kuhakikisha kuwa walimu hawajazipata bado.

Munyemana ameleza kwamba walisha timiza wajibu wao na kuwa linalobaki ni ufuatiliaji na kuwa kuna imani ya kuwa jambo hili litatatuliwa vilivyo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top