Isaya 48:3

Nilitoa unabii mambo ya kwanza tangu zamani,

kinywa changu kiliyatangaza na kuyafanya yajulikane;

kisha ghafula nikayatenda, nayo yakatokea.”

 Umekabiliana na matatizo sawa miaka nenda rudi bila mabadiliko. Unaweza kudhani kwamba ni vigumu sana. Kwa sekunde moja, unaweza kupata suluhisho.

“ Ghafula, bila kutarajia. Ni kawaida yetu na siyo rahisi. Hata kama matatizo ni ya muda mrefu, haina budi kuamini Mungu kwana anakuleta mambo mengi kwa ghafula.

Akikugusa mala moja tu. Mungu analeta watu wabaya na wema maishani mwako. Anaweza kukotoa katika hali yaumaskini wa kupindukia na kukupa hata yale yanayozidi mahitaji yako. Unawaza kwamba inawezekanaje na si lazima ujue inavyowezekana.

Mungu anasema” Unastahili kuwa tayari, haujapata Baraka zangu tele. Hauajaona wema wangu usio na kiasi.”

Cha kufanya ni kuamini tu, amka kila siku ukiwa na imani. Ukitarajia utaona wema wa Mungu. Ukiamini kuna jambo jema litakalotendeka maishani mwangu.

TARAJIA KWAMBA MUNGU ANAKUJA KWAKO KWA GHAFULA

Mwenzangu, nataka uniambie unachofikiri leo kupitia imeili yangu Estachenib@ yahoo.com ama ujumbe mfupi kupitia Whatsapp nambari  + 4128718098

Unaweza pia kuniambia yale madogo unayokabiliana nay oleo ili nikuombee kwa Mungu.

Wewe ni wa thamani kwetu.

Neno la Mungu kutoka  Nibintije Evangelical Ministries

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.