HABARI

Muhanga:Uchunguzi wabaini frw miliyoni mbili zilizotumiwa kwa wanafunzi hewa

Ripoti ya mwezi wa Juni na Julai ya uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma kwa shule, imeonyesha kwamba frw 2,999.132 zilitumiwa vibaya kwa ajili ya wanafunzi hewa.

Diwani wa wilaya ya Muhanga,Beatrice Uwamaliya.

Baadhi ya shule zenye wanafunzi hewa ni GS Munyinya,GS Nyarusange na St Etienne.

Pia,ripoti hii imeonyesha kwamba miliyoni frw173 zilitumiwa bila  hatirasmi za maelezo kwenye shule ya TTC Muhanga,ES Buhinga,ES Nyakabanda na Saint Etienne.

Diwani wa wilaya ya Muhanga,Beatrice Uwamariya amewambia wakurugenzi wa shule zenye matumizi ovyo ya fedha za umma kutoa ripoti mpya inayonyesha vilivyo matumizi ya fedha hizi.

Wakurugenzi wana wakati wa wiki mbili za kukosoa makosa yao wakati ambapo kunasubiriwa  ripoti kamili.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top