kwamamaza 7

Muhanga:Mtangazaji aliyeshtakiwa pamoja na Kizito Mihigo atoroka gerezani

0

Mtangazaji Cassien Ntamuhanga mmoja mwa walioshtakiwa pamoja na muimbaji Kizito Mihigo na kuhukumiwa  kufungwa miaka 25 gerezani ametoroka gereza ya Muhanga,kusini mwa nchi.

Cassien Ntamuhanga

Ntamuhanga alishtakiwa kuunda kundi la kijeshi kinyume na sheria na kudhamiria kumfanyia maovu rais wa jamhuri.

Ukuta walioruka kwa kutumia kamba

Msemaji wa Ofisi kuu ya magereza nchini,ACP Hillary Sengabo jana ametangaza kuwa huyu alitoroka akiwa pamoja na wafungwa wenzake wawili kwa majina ya Sibomana Kirege na Theogene Batambarije.

waliotoroka wanatawindwa

[xyz-ihs snippet=”google”]

Sengabo ameleza kuwa wafungwa hawa walitoroka saa kenda usiku wa manane kwa kutumia kamba walilojiundia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Cassien Ntamuhanga alikuwa mtangazaji mkuu wa Radiyo Amazing Grace,mwenzake  alihukumiwa mwaka 2014.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.