HABARI

Muhanga:Kutojua sheria kulimfanya akose mali yake

Mkazi wa kijiji cha Ruli,tarafa ya Shyogwe,Petronille Mukandutiye,70 amesema kwamba kutojua sheria kwake kulisababisha kupoteza mali yake ikiwemo mashamba.

 Petronille Mukandutiye aliyenyanganywa mali yake kwa kutojua sheria

Bibi Petronille amesema kwamba alipoteza  mali ya mume wake aliyekufa kwa kuwa hakujua kwamba ni mumiliki wake kwani alifunga ndoa rasmi na mume wake.

Mume wake waliachana kwa kuwaa alikuwa tasa kisha mali yake akapatiwa mwanamke,Marcelline Dusabimana aliyeiuza kwa Consolee Bayisenge mwaka 2013.

Petronille amendelea akisema kwamba halmashauri ya tarafa ilimunyanganya alipopokea frw 200,000 kutoka Bayisenge kwenye shamba lake kubwa.

Mwanasheria wa World Vision,Me Flavienne Habyarimana amehamasisha watu wote husika kufundisha mambo ya sheria.

.Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top