HABARI

Muhanga: Inafikiliwa mwanamke kuua mwana wake

Mahakama makuu ya Muhanga yanafualitia mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mukamana Alphonsine akishutumiwa kumuua mtoto wakati alipo muzaa akiwa nyumbani kwake tarehe 7 Mach 2017.

Hayo katangazwa na binti wake akisema ya kuwa alisikia mtoto akilia chumbani mwa mamae na alipo bisha mama yeke mzazi akakataa kufungua.

Baada ya kukataa kumufungulia mlango alikimbilia kumwambia shangazi yake naye akawaambia wanao husikana usalama.

Alipo pewa maswala na uendesha mashtaka, mwanzo alikana kuhusika na mauaji ila kwa mwisho akakubali kosa lake na haraka sana kesi yake itafikishwa mahakamani kama vile husema mwendesha mashtaka.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top