HABARI MPYA

Mtuhumiwa wa mauaji ya muimbaji Mowzey Radio akamatwa

Polisi ya kituo cha Katwe mjini Kampala imetangaza kumkamata Godfrey Wamala maarufu kama Troy ambaye anatuhumiwa kumuua kwa kumpiga muimbaji  Moses Ssekibogo Nakitinje maarufu kama  Mowzey Radio.

Taarifa za Ugblizz ni kwamba Godfrey Wamala, 28 amekamatwa baada ya siku chache akijificha kwa rafiki yake Henry,eneo la Kyengera.

Kifo hiki kimetupokonya muimbaji mahiri,hatuwezi kukaa kimya tu.Tunatayarisha hati rasmi za kuwasilisha mahakamani”Amesema kiongozi wa Polisi mjini Kampala,CP Frank Mwesigwa.

Polisi inafanya lolote liwezekanalo kufuatia sheria kutatua suala hili.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

 

 

 

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top