Connect with us

HABARI

Mtapata nyumba bibi yenu atakapokufa-Katibu mtendaji wa kata

Published

on

Watoto wawili mayatima kwa majina ya Dative Mukandutiye na Liliane Ugiriwabo,wakazi wa tarafa ya Rango, wametangaza kumaliza miaka kumi wakimuomba bibi yao,Anathalie Mukamihigo kujenga nyumba yao aliyoibomoa.

Mmoja wao,Lilian Ugiriwabo ameleza kuwa bibi yao alikubali kujenga nyumba hii alipokuwa mahakamani ila walingoja miaka nenda rudi.

Lilian ameongeza kuwa Katibu mtendaji wa tarafa ya Rango alipojulishwa suala hili aliwambia kuwa watapata nyumba yao atakapokufa nyanya yao.

Katibu mtendaji wa kata ya Gasagara kwa wajibu wa maendeleo ya uchumi na mambo ya kijamii, JMV Abizeye amesema kuwa wanajua suala hili na kuwa watoto hawa watapata nyumba yao atakapokufa bibi yao kulingana na sheria.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *