Connect with us

HABARI MPYA

Morocco: Rais Kagame kwenye mkutano kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa-PICHA

Published

on

Rais Kagama akiwa pamoja na mke wake wameasili jana nchini Morocco kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 22 wa nchi ambazo zilifanya mkataba kwa niaba ya mambo ya mabadiliko ya hali ya hewa.

moroco1

wasimamizi wa Rwanda katika mkutano

moroco moroco3 moroco4 moroco5 moroco6 moroco7

Mkutano ulioanzia huu ulifanyika mwaka jana 2015 huko Paris na hivi sasa mkutano huu utahudhuriwa na nchi takribani 195 waliokubali mkataba huo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *