HABARI MPYA

Mnyarwanda Esdras Butare ndiye mwenye uchumi na kusajili ‘Interahamwe’katika jeshi la Burundi

Mnyarwanda Esdras Batare anadaiwa kuwa na madaraka ya uchumi na kusajili wanamgambo kwa jina la ‘Interahamwe’ katika jeshi la Burundi.

Haya ni baada ya Warundi wengi kujiuliza Mnyarwanda huyu ana wajibu gani nchini,wengi walieleza kuwa anamsadidia sana rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza.

Kuna taarifa kwamba Butare ni mpwa wa Felicien Kabuga,mtuhumiwa wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 ambaye hajakamatwa.

Butare alishiriki katika vitendo vya kuzoeza kundi la vijana wa chama tawala kwa jina la ‘Imbonerakure’ nchini DRC, kupitia malehemu Gen.Adolphe Nshimirimana na maafisa wa upelelezi.

Jambo hili lilimuezesha kuwa rafiki wa dhati wa viongozi wakuu wa Burundi hasa Rais Nkurunziza hadi alipopatiwa walinzi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top