KIMATAIFA

Mnyarwanda auawa kwenye mpaka wa Burundi na Rwanda

Mkazi raia wa Rwanda aliuawa na wanajeshi wa Burundi kwenye mpaka mkoani Cibitoke,eneo la Ruhororo wilayani Mabayi.

Kuna taarifa kwamba huyu Mnyarwanda alipigwa risasi akijaribu kuvuka mpaka kuelekea Burundi majira ya usiku.

Taarifa za vyombo vya habari nchini Burundi zinasema kuwa wanajeshi walitangaza kuwa hawakudhamiria kumpiga risasi ila ilikuwa ajali.

Jambo  hili limehofisha mno  wakazi wa wilaya ya Mabayi .

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top