kwamamaza 7

Mnyarwanda auawa kwa risasi nchini Uganda

0

Mnyarwanda,  Lambert Sabaho mkazi Wilayani Kisoro amepigwa risasi na kuuawa na watu ambao hawajatambulika.

Kisa hiki kilitokea usiku wa jana tarehe 15 Aprili ambako Sabaho alikuwa anarudi nyumbani kutoka kazini.

Chimpreports imetangaza waliomuua waliuwa garini na polisi imetangaza haikuweza kutambua nambari za hili gari.

Sabaho alikuwa ni meneja wa kiwanda kidogo cha mvinyo maarufu kama Isimbi.

Kwa sasa haijajulikana bado sababu ya kumpiga risasi Malehemu Sabaho. Alikuwa na mwanamke na mtoto mmoja.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.