kwamamaza 7

Mnyarwanda apokonywa Frw miliyoni mbili na nusu nchini Uganda

0

Mnyarwanda Hyacente Mugwaneza amepokonywa Frw miliyoni mbili na nusu nchini Uganda.

Mugwaneza amesema alipokonywa mali yake yote na kupigwa na hasara kubwa katika ufanyabiashara wake.

“ Nilikuwa mfanyabiashara lakini walioninyanganya fedha zangu walikuwa marafiki wa kawaida.”

“ Nilikuwa garini, watu wengine walikuja wakisema kwamba wananitaka na ni katoka garini. Walinikamata na kuchukua fedha zangu zote Frw miliyoni mbili  na nusu bila kuniachi hata nauli.”

Amesema linalowafanya Wanyarwanda kwenda nchini Uganda ni kutokana na kuwa bidhaa zinauzwa kwa bei duni nchini humo kinyume na Rwanda.

Mugwaneza amesema Rwanda iliamua vizuri kuwakataza raia wake kutokwenda nchini Uganda miezi iliyopita.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.