kwamamaza 7

Mnyarwanda apigwa risasi akijaribu kuingia nchini Uganda

0

Mnyarwanda Innocent Ndahimana amepigwa risasi na Polisi ya Rwanda akijaribu kuingia nchini Uganda kupitia Mpaka wa Gatuna, kaskazini nchini humo.

Serikali ya Rwanda iliwashauri wananchi kutokwenda nchini Uganda kwa ilichokita ni juu ya usalama wao.

Vyombo vya habari nchini Uganda vimetangaza Ndahimana amepigwa risasi kwenye mkono wake wa kuria na kwa sasa anatibiwa huko Medical Clinic nchini Uganda.

Msemaji wa Polisi nchini Rwanda, CP Jean Bosco Kabera ameambia Bwiza.com hajui mengi kuhusu hiki kisa.

Ilionekana waizwazi kuwa Wanyarwanda hawakuzingatia ushauri wa kutokwenda nchini Uganda. Wanakwenda nchini humo kutafuta bidhaa mbali mbali kwa bei ndogo na ya humo nchini Rwanda.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.