kwamamaza 7

Mnyarwanda afariki katika ajali iliyosababishwa na gari kutoka Tanzania

0

Mnyarwanda Mukakamali Anastasie ameaga dunia katika ajali nchini Uganda.

Ajali iliyotokea jana tarehe 26 Aprili barabarani Masaka- Kampala imewaua watu wengine watano akiwemo Diwani wa Wilaya ya Koboko nchini humo kama inavyotangazwa na Daily Monitor.

Polisi nchini humo imetangaza magari mawili ya Kampuni  Makundi Transport and General Supplies ni ndiyo chanzo cha ajali hii. Imesema gari moja la Makundi limejaribu kupita lingine na kwa ghafla likagonga gari la Toyota Premio liliojkuwa na mwendo wa kasi waliokuwemo marehemu.

Isipokuwa Mnyarwanda Mukakamali, wengine ni wananchi wa Uganda.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.