Waziri wa Mambo ya nje Louise Mushikiwabo amesema yeye ni Mnyarwanda anapokuwa popote hata ugenini.

Huyu waziri amefunguka haya akiwa nchini Ubelgiji akihakikisha kuwa ni mgombea wa nafasi ya kuongoza Shilika la nchini zinazotumia Kifaransa (OIF).

“Ni ukweli, nikiwa nchini Rwanda ama ugenini nabaki vilevile Mnyarwanda,hakuna jambo litakalonizuia kuwasiliana na Wanyarwanda” Waziri Mushikiwabo alisema

“Vile ni kazi, lililo moyoni ni Wanyarwanda na nchi yetu”

Mushikiwabo amesisitiza nchi nyingi za Afrika zitaunga mkono ugombea wake

“Kuna nchi zilizokubali kutuunga mkono,tulishaongea,wataunga mkono Rwanda” aliongeza

Inatarajika kwamba uamuzi kuhusu ugombea wa Mushikiwabo,54, utachukuliwa nchini Almenia mwezi wa Octoba mwaka huu.

Fred Masengesho Rugira

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.