kwamamaza 7

Mhindi anguka ghorofani Mjini Kigali

0

Mhindi kwa jina la Prijith alianguka ghorofani Jumamosi mjini Kigali.

Inadaiwa kwamba alijiua kwa kuwa alikuwa mlevi.

Dirisha la chumba chake kama inavyoripotiwa, kilikuwa wazi na alikuwa anaishi peke yake eneo la Remera.

Msemaji wa Polisi nchini humo, CP Kabera Jean Bosco amesema mwili wa malehemu umepelekwa  hospitalini ili madaktari wajue chanzo cha kifo chake.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.