kwamamaza 7

Meddy aonyesha hisia zake kuhusu wimbo muimbaji Sentore

0

Muimbaji Ngabo Medal maarufu kama Meddy ameonyesha hisia zake nyingi kuhusu wimbo wa muimbaji Jules Sentore kwa jina ‘Warakoze mana’ yaani Asante Mola.

Kupitia Instagram,Meddy ameandika kuwa tangu wimbo huu utoke nje ameisha  usikiliza mala ambazo hawezi kuhesabu.

Meddy ameandika” Warakoze Mana by Jules Sentore!!!,Mola tu ndiye anajua mala ngapi nilicheza huu wimbo.Mimi mfuasi wako ndugu”

Alichokiandika Muimbaji Meddy kwenye instagram.

Pengine huyu msaani hodari amewataka wafuasi wake kutafuta huu wimbo ili kubarikiwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Wadau,tafuta huu wimbo kwenye  You Tube na Bio ya @Jules Sentore” ameongeza

Muimbaji Meddy ambaye alijulikana kwa nyimbo nyingi hapa nchini Rwanda,kwa sasa anaishi nchini Marekani ila mala nyingi hutmia mitandao ya kijamii hasa Instagram huonyesha kamba anayafuata mambo ya muziki nchini Rwanda.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.