kwamamaza 7

Mchekeshaji Eric Omondi awakosoa wasaani kutoka Rwanda

0

Mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi amewakosoa wasanii wa Rwanda alipokuwa kwenye sherehe ya   Seka Festival mjini Kigali wiki iiliyopita.

Eric Omondi Ongao,40, amewasifu waimbaji wa Rwanda kuwa wanajua kuimba na kusisitiza kuwa wanakosa jamo la utendaji ‘Performance’ katika kiingereza.

“ Waimaji wa Rwanda wanajua kuimba ila linalokosekana ni utendaji”

Huyu ametangaza haya baada ya kumuambia fundi mitambo kuicheza nyimbo ya msaani kutoka Uganda,Dr.Jose Chameleone ambayo imewamusha kamati  la watu walipokuwa Camp Kigali.

Kisha Omondi amemtaka Fundi Mitambo kucheza nyimbo ya msaani kutoka Rwanda na haikuweza kuiamusha  kamati.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na hili,ilisikika mala nyingi wageni wakilalamikia nyimbo za waimbaji wa Rwanda ambazo zinakuenda goigoi na haziwezi kuamusha kamati wakati wa burudani.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.