kwamamaza 7

Mashariki: Ng’ombe wa mwananchi yakatwa

0

Ng’ombe aliyopatiwa mkazi Wilayani Gatsibo, Eric Sezikeye amekatwa mala tatu kwenye paja.

Sezikeye ambaye alinusurika mauaji ya kimbali dhidi ya Watutsi mwaka 1994 alipatiwa ng’ombe huyu kwa kumsaidia kupambana na ufukara.

Katibu Mtendaji wa Tarafa ya Remera, anakoishi Sezikeye, Marceline Mukamana ameambia vyombo vya habari nchini Rwanda kuwa mtuhumiwa alikamatwa jana.

Amesema, kumekuwa ugomvi kati ya mtuhumiwa na Sezikeye.

Mukamana amehamasisha wananchi kuripoti kila kesi za watu wenye ugomvi ili masuala yao yatatuliwe.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.