Mfanyakazi wa mahakama Me Vedaste Habimana  ametangaza terehe 11 Juni 2018 saa nne mjini Kigali, Bodi Kuu ya Kodi nchini (RRA) itauza mnada mashine za kuanda sigara za kiwanda Premier Tobacco cha familia ya Assinapol Rwigara.

Kupitia tangazo,Me Habimana ameeleza mnada huu unalenga kulipa deni la frw miliyoni sita ambalo hii kampuni ilikwepa kulipa miaka liyopita.

Tangazo la mnada

RRA iliuza mnada  sigara iliyotengenezwa tarehe 28 Machi 2018 frw miliyoni 512.

Kwa sasa familia hii inawakirishwa na binti marehemu Assinapol Rwigara Adeline Rwigara baada ya bi Rwigara, Adeline Rwigara Mukangemanyi na binti ye Diane Rwigara Nshimiyimana kufungwa kwa kushtakiwa uchochezi,matumizi ya hati bandia.

Mala nyingi washtakiwa walilaani haya mashtaka kwa kusema kwamba ni ajili ya kisiasa na kuongeza hawana deni lolote kwa serikali ya Rwanda.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.