Connect with us

HABARI MPYA

Malengo ya Chama cha RPF ni kama ahadi ya wayahudi-Dk.Kimonyo

Published

on

Mtalaamu wa mambo ya siasa Dk. Paul Kimonyo ametangaza kwamba malengo ya chama cha RPF-Inkotanyi yaweza kulinganishwa na ahadi ya safari ya Wayahudi kutoka utumwa nchini Misri wakielekea nchi ya ahadi .

Akizungumza na Jeune Afrique Dk.Paul Kimonyo vitendo vya RPF vyaweza kulinganishwa na safari ya Musa alipowaongoza Waisraeli wakielea nchi ya ahadi,Kanani kwa kuwa chama hiki kilifanya juu chini kuwaunganisha Wanyarwanda walipokuwa popote kama wakimbizi na kuwarudisha nchini Rwanda.

Pia amesema kuwa uhusiano mwingine ni kwamba RPF ilianzishwa katika hali ya umaskini,bila nchi lengo likiwa “tuende nyumbani”.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *