Connect with us

HABARI MPYA

Maj.Dkt Rugomwa yahukumiwa miaka 10, fidia miliyoni 10 kwa muua mtoto wa umri wa miaka 19

Published

on

Mahakama ya kijeshi ya Nyamirambo,wilaya ya Nyarugenge imetangaza uamuzi wake wa kufunga miaka 10,fidia miliyoni 10 na kuondoa pete za kijeshi kwa  Major Dkt Rugombwa Aimable aliyepatikana na kuwa hatia ya kumpiga baada ye akakufa Mbarushimana Theogene.

Maj.Dkt Rugomwa Aimable aliyehukumiwa miaka 10 gerezani

Huu ni uamuzi wa jaji kusema kwamba Rugomwa ana hatia ya kumpiga mtoto wa umri wa miaka 19 kisha akakufa.Jaji ameleza kuwa alichokifanya Rugomwa si kuua kwa kuwa Mbarushimana aliaga dunia akiwa hospitalini.Adhabu ya fidia imetolewa ili i kusaidia familia ya malehemu(7,000,000),kulipa gharama la kuzika na la mwanasheria na mengine yaliyohusu tukio hili.

Maj.Dkt Rugomwa Aimable alimuua alimpiga tarehe 4 Septemba 2017 hakubali kuwa na hatia kwa kusema kuwa alipambana na wizi  lakini hakuweko yeye na wanasheria wake wakati wa kutangaza uuamuzi huu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *