kwamamaza 7

Mahakama yahairisha kesi ya nduguye Jenerali Kayumba Nyamwasa

0

Mahakama kuu leo imehairisha kesi ya nduguye Jenerali Kayumba Nyamwasa,Luteni Kanuni Rugigana Rugemangabo .

Mahakama kuu imeamua hili baada ya jaji kutangaza kwamba hakupata uamuzi wa pande mbili husika yaani  wa mshitakiwa na wa  mwendeshamashtaka.

Mshitakiwa Rugigana Rugemangabo ameeleza kwamba hakuweza kutoa uamuzi wake kwa kuwa alifungwa hali ya karantini na kwa hiyo hakuweza kumkuta mwanasheria wake kujadili hili.

Pengine upande wa mwendeshamashtaka umefafanua kuwa hili lilisababishwa na kuwa hawukutupia jicho uamuzi wa mshitakiwa ili kutoa wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa hayo, mahakama kuu imeamua kuwa kesi hii itaendelea tarehe 30 Aprili 2018

Luteni Kanuni Rugigana alihukumiwa kufungwa miaka tisa na kutoa faini ya frw 1209,000 juu ya kuwa na hatia ya uhalifu  wa kudhamiria kuipindua serikali,kuisaliti nchi na uchochezi  kisha akapiga rufaa.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.