Bwana harusi, Innocent Murwanashyaka,30, mkazi Wilayani Nyamasheke amekimbia na kumuacha mkewe Gloriose Nyiransabimana kanisani.

Mashahidi kwa hali ya kushangaa wameambia Bwiza.com  Murwanashyaka alikimbia bila kueleza sababu yake.

Majirani wamesema wawili walikuwa na mtoto na wakiishi miaka miwili pamoja kabla ya kuamua kufunga ndoa kikiristo.

Imeripotiwa walikuwa na ugomvi husika na mali.

Viongozi wa ngazi za chini wameeleza mwanamke amerudi kwao ili waanze kutatua kutolewana katika familia.

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.