BIASHARA

Maendeleo haya ni matunda ya kodi za Wanyarwanda-Waziri mkuu

Waziri mkuu Dkt Edouard Ngirente kwenye sikukuu ya watu wanaolipa kodi tarehe 15 Otoba 2017 ameweka wazi kuwa maendelo nchini Rwanda ni matokeo ya mchango wa Wanyarwanda wanaolipa kodi.

Waziri mkuu ametangaza kuwa fedha za kodi zinaongezeka kila mwaka na kuwa fedha za kodi zinaunda asilimia sitini za bajeti.

Haya yote ni matokeo ya kodi za Wanyarwanda”amesema Waziri mkuu.

Pia Waziri mkuu amesisitiza kuwa haina budi kutilia mkazo mambo ya kuongeza asili ya na idadi ya wanaolipa kodi.

Sikukuu hii imetokea wakati ambapo kuna malalamiko kwamba kodi inaongezeka sana nchini,jambo linalosababisha wafanyabiashara kufunga milango.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top