HABARI MPYA

Kwa picha:Rais Kagame anzisha mpaka wa kifahari kati ya Rwanda na DR Congo

Rais Paul Kagame amefungua mpaka kati ya Rwanda na DR Congo,La Corniche wenye bei miliyoni $9.

Viongozi wa pande zote mbili kwa kuanzisha mpaka,La Corniche

Mradi wa majengo haya ulifadhiliwa na tajiri kutoka marekani Buffet Howard aliyetoa miliyoni $7

Serikali ya Rwanda ilitoa miliyoni $2

Rais Kagame akiwasalimu viongozi wa upande wa DRC Congo

Akizungumza na viombo vya habari,waziri wa ushirikiano wa mambo ya nje,Louise Mushikiwabo ametangaza kwamba sifa za mpaka huu ni majengo safi,ya kisasa unapolinganisha na wengine.

Kwa upande wa Rwanda,mpaka huu utafanya kazi saa 24  na kwa upande wa DR Congo utafanya kazi kufika saa nne za usiku.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top