Mwanamume, Barthazar imeripotiwa kwamba alimpachika mimba bintiye wa miaka 21.

Magazeri nchini Rwanda yameripoti mtoto huyu alitimiza miaka  miwili mwaka huu.

Barthazar maarufu kama Obed alimpa mmoja mwa watoto wake sita.

Katibu Mtendaji wa Tarafa ya Rusatira, Kalisa  Constantin amesema Obed kwa kawaida anajulikana kama mhalifu sana na kuwa wanausalama walijaribu mala nyingi kumukamata wakashindwa.

Baadhi ya uhalifu ni kama vile kuuza bangi na vinywaji vya kulevya kinyume na sheria.

Kwa sasa, Obed amefungiwa kwenye kituo cha polisi Ngoma , Mjini Butare.

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.