kwamamaza 7

Kusini mwa Rwanda: Mfungwa wa mauaji ya kimbali aua mwenzake

0

Hitimana Potien ambaye ni mfungwa kwa kuwa na hatia ya mauaji ya kimbali  amemuua mwenzake, Vincent Nzungize kwa kumpiga msumali kichwani.

Habimana alikuwa anabaki kufungwa miaka mitano gereza.

Msemaji wa Ofisi ya Magereza nchini, SSP Hillary Sengabo amesema ni mala ya kwanza hili kutokea nchini Rwanda.

“ Hili ni somo ambalo linatubidi kuhusu wafungwa wanamaliza adhabu zao. Haieleweki mtu aliyehukumiwa miaka 30 kwa mauaji ya kimbali, kumuua mtu baada ya miaka 25.”

Sengabo hili linatahadharisha  kuhus tabia za wanaoachiwa huru katika jamii.

Chanzo cha mauaji hakijaeleweka na upelelezi unaendelea.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.