kwamamaza 7

Kusini mwa Rwanda: Amuua mkewe, amzika jikoni kwa muda mrefu

0

Mwanaume kwa majina ya Celestin Ndikumana alimuua mke wake, Jacqueline Nyirahabineza halafu akamzika jikoni.

Ndikumana ambaye ni mfungwa kwa kuanda vinywaji kinyume na sheria, inatuhimika kwamba alimuua mke wake kabla ya kumuua.

Jean Bosco Nemeyimana, Kiongozi katika tarafa ya Ruhango amehakikisha taarifa hizo.

Msemaji wa Ofisi ya Uendeshamashtaka nchini, Modetse Mbabazi ameambia  magazeti nchini Rwanda kuwa upelelezi umeanza kuutambua mwili wa malehemu kama ni wa mke wake, Ndikumana.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.