Mwanamume ambaye anaishi  mjini Kigali amewakata watu watatu na kumuua mmoja wao  Wilayani Kamonyi, Kusini mwa Rwanda.

Mmoja amefariki alipofika hospitalini Mjini Kigali.

Haijatangazwa bado sababu ya kisa hicho.

Hata hivyo, Msemaji wa Ofisi ya Uendeshamashtaka nchini (RIB), Modeste Mbabazi ameeleza wamemkamata  kutambua chanzo cha jambo hilo.

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.