kwamamaza 7

Kufikia ndoto zako ni mchakato

0

Hatua ya kwanza ili kufikia ndoto zako ni kuamua unachotaka maishani mwako.

Baadaye, unajua kitakachofuata. Moyo wako ukitamani jambo fulani, akili yako inakupatia ramani ya kulipata.

Yesu alikuwa anajua mweleko wake

Yesu alikuwa anajua mwelekeo wake, alikuwa anajua wanaomhitaji, wanachohitaji na namna ya kuwafikia.

Yesu  alikuwa akisikiliza  sauti ya Mungu kila mala

Washindi hufikia mengi maishani na hawapati machache. Hawaishi katika watu wengi na hawapendi kupata machache. Wanapenda kuishi karibu na yale wanayopenda.

Kufikia ndoto zako si jambo linalojiendesha

Kufikia ndoto zako ni safari, ni muda. Ni mbinu zinazojulikana zinazotumia hatua rahisi na za msingi.

Washindi hawapatikani katika vita ila wanajulikana wakati huo.  Hayo hhuwa ni mambo ya kawaida, inakuwa utaratibu.

Je, una ndoto?

Uliziandika? Uliziandika kwa mapana kwenye karatasi? Inaweza kuonekana kama kawaida, lakini, unaweza je kujua unakoelekea bila namna ya kufika? Hayo ni ramani ya maisha yako ya usoni.

Kufikia ndoto, ina msingi wake. Wale ambao hawajafikia ndoto wanangalia wanayokabiliana nayo lakini wengine wanangalia wanavyopanga kufanya.

Waiofikia ndoto zao hawakuzaliwa hivyo, walivikifia

Waiofikia ndoto zao wanapitia mengi yakiwemo ushindi na kufeli, ya kupiga marufuku na vya kutendwa kwa makini.

Wanaamua kuweka mamb o fulani kwa msitari wa mbele na wa mwisho. Wanajifunza kutia mkazo kwa siku zijazo zaidi zilizopita, uwezekano wa mambo badala ya maumivu.  Wanamua kufanya yatakayoleta. Kwa kinyume, wengine wanamua kufanya yanayowasaidia wakati uliopo.

Baki  katika unayoyajua

Unapenda kufanya nini?

Nini unachopenda kusikiliza zaidi Duniani ?

Unaweza kufanya nini kama fedha hazipo?

Utazifikia ndoto zako ukiwa na jambo ambalo ni murua moyoni mwako. Unakuwa na furaha ukifanya yale unayoyapenda.

Yesu alikuwa anajua anayopaswa kufanya. Hakupoteza mwelekeo. Nadhani kupoteza mwelekeo kunawafanya wengi kutimiza malengo yao. Moja wao, wanafanya kazi kutokana na kuwa iko karibu na makazi yao.

Rafiki yangu aliniambia anaishi kwa muda mrefu akifanya kazi asiyoipenda. Nilimuuliza “ Kwa nini umeifanya miaka 25?”

“ Ni dakika kumi tu kufika ofisisini kutoka kwangu. Miaka mitatu ijayo watanipa zawadi ya saa ya dhahabu. Siwezi kuacha kazi mapema, nisipoteze saa yangu.”

Barikiwa

Neno kutoka  Nibintije Evangelical Ministries

Email: estachenib@yahoo.com

+14128718098

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.