kwamamaza 7

Kiongozi wa wanamgambo nchini Rwanda akamatwa

0

Ofisi ya Upelelezi nchini Rwanda (RIB) imetangaza imekamata na kumfunga Callixte Nsabimana maarufu kama Sanakara.

Tangazo la RIB linaeleza kwamba huyu atasimama kizimbani hivi karibu kwa uharifu ukiwemo kuunda kundi la wanamgambo, ushikirikiano katika visa vya ugaidi, kwateka nyara wananchi na mauaji.

Meja Sankara alijulikana katika vyombo vya habari kuwa kundi lake la wanamgambo ‘National Liberation Front’ (FLN) wangali vitani na jeshi la Rwanda (RDF) msituni Nyungwe.

Siku chache zilizopita, kulikuwa taarifa kwamba Sankara alikamatwa alipkuwa Visiwani Comoro na kupelekwa nchini Rwanda.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.