kwamamaza 7

Kiongozi wa Kanisa la methodiste duniani yazuru nyumba ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya Kigali

0

Askofu Joab Lohara, Kiongozi wa kanisa la Methodiste amezuru kumbukumbu ya mauaji ya Kigali ambapo alielezwa kwa ufupi historia ya mauaji ya Kimbari dhidi ya watutsi ya 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi huyu ameeleza kwamba kunahitakijika watu wa dunia kuishi kwa kuelewana na amani ya kudumu  kwa kuheshimiana ili mauaji ya kimbari yasiweze kutokea kwingine.

Lohara ambaye yuku nchini Rwanda kwa ziara ya siku saba amekuja kwa kujiunga na waumini wa dini hilo kwa maahimisho ya miaka 75 ya kuweko kwa kanisa hilo ambayo yatafanyikana jumapili ijayo.

Akiwa kwenye Kumbukumbu hiyo amesema “ Maneno yameniishia! Siwezi kupata maneno ya kufaa ya kusema… Mauaji ya kimbari yasije akatokea kwingine Rwanda na mahali pengine popote duniani na kusiwe na kanisa yoyote itakayojihusisha na ukatili huu”

Katika, Kumbukumbu ambayo iko mjini Kigali ,wilaya ya Gasabo  ya Kigali kunazikwa maiti za watu wapatao 250,000 waliouawa katika mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi ya 1994.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.