kwamamaza 7

Kiongozi afichua alivyofanya biashara ya mapipa

0

Mmoja mwa Washauri Wakuu wa Nchi, Boniface Rucagu amefichua alivyokuwa akifanya biashara ya mapipa baada ya Serikali ya Juvenal Habyarimana kupinduliwa.

Rucagu alikuwa Kiongozi Makamu wa Mkoa kwa utawala wa Rais Habyarimana.

Aliambia Gazeti la Igihe kwamba aliamuakufanya biashara ya mapipa kwa kuwa aliona hawezi kuomba kazi.

“ Nilikuwa nje ya mambo ya siasa baada ya mwaka 1994. Nilikuwa nikizungumza na watu mabali mbali, mmoja aliniambia unaweza kuchuuza mapipa. Nilikuwa nikiyanunua mapipa kwa Frw 5000 kisha nikauza kama elfu saba.”

Rucagu,73, amesema biashara yake ilikuwa mala nyingi Mjini Kigali baina yake na wanahoitaji mapipa.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.