kwamamaza 7

Kigali:Wendeshamashtaka kukoma kufunga wahalifu kinyume na sheria

0

Baadhi ya uamuzi wa mkutano uliotokea siku moja kabala wa wendeshamashtaka ni kukomesha kosa la kufunga wahalifu kinyume na sheria.

Mkutano huu ulihudhuriwa na mafisa wote wa uendeshamashataka nchini na wengine husika na kazi za uendeshamashtaka.

Mkutano uliofunguliwa na waziri makamu kwa wajibu wa katiba na sheria nyingine,Me Evode Uwizeyimana, kumeamuliwa mambo mbalimbai ila lililotiliwa mkazo ni jambo la kufunga jela wahalifu kinyume na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wendeshamashtaka wametakiwa kutembelea magereza na kufanya uchunguzi wa hali  iliyoko kwa kujilinda kosa la kufunga wahalifu kinyume na sheria.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uamuzi huu umetolewa wakati ambapo mashilika ya kimataifa kama HRW kuishtaki serikali ya Rwanda kufunga wahalifu kinyume na sheria hasa wapinzani wake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.