HABARI

Kigali:Watangazaji waondoka kimya walipojaribu kujua mengi kuhusu Diane Rwigara

Watangazaji wa viombo vya habali mbali mbali wameondoka bila kuagana walipokuenda nyumbani kwake Rwigara Assinapol kutafuta habari zaidi kuhusu kisa cha binti ye Diane Rwigara.

Hawa wakiwemo Yvan Mugisha wa The East African,Eric Bagiruwubusa wa Sauti ya marekani,John Williams Ntwali wa Ireme News na Robert Mugabe wa Greatlakes,wameondoka kwa kimya baada ya afisa asiyejulikana majina na kazi yake kuwambia kwamba hawaruhusiwi kuondoka hapo.

Afisa huyu amemuita mwenzake ili kuleta gari la kuwabeba,kwa kusikia hilo wakanza kukimbia.

Mmoja Ntwali Wiliams,amesema”(…)Tumekimbia baada ya afisa mmoja kujua kwamba sisi ni watangazaji na kuagiza gari la kutubeba(…).

Haya ni baada ya taarifa za kuwa  Diane Rwigara na watu 5 wa familia yake kutoweka,madai ambayo alikana spika wa polisi,ACP Theos Badege kwa kueleza kuwa anafanyiwa upelelezi tu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top