HABARI MPYA

Kigali:Mbunge akosoa madai ya wizara ya ukulima na ufugaji husika na kupambana na mmomonyoko wa ardhi

Mbunge kwenye mkutano wa mahojiano husika na ukulima na Ufugaji nchini, wameonyesha kuwa na shaka ya madai ya wizara ya ukulima na mifugo kuhusu namna ilivyopambana na mmomonyoko wa ardhi miaka ya hivi karibuni.

Haya  ni baada ya wizara hii kutangaza kwamba baadhi ya ardhi ya kufanyia kazi za ukulima miliyoni 1.3 ha ilipambana na mmomonyoko wa ardhi kwenye 900,000ha za ardhi yakulimia.

Taarifa za VOA zinasema kwamba mbunge ambaye jina lake halikutambulika amesema kuwa kuna shaka la kukubali kuwa idadi hizi ni ukweli kamili.

 Idadi hizi zingelipatikana waziwazi kwa macho unapoangalia milima huku nje,hakuna hata miliyoni 1.5 ya ardhi ya kulimia,yeyote yaweza kuliuliza kama idadi hizi ni ukweli”amesema mbunge huyu.

Kwenye mkutano huu,wabunge wameitaka serikali kutilia nguvu mambo ya kuhifadhi ardhi ya kulimia na kupendekeza kuzuia maji yanayoporomoka kwenye paa za nyumba.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top